“………………………. lakini damu yake nitaitaka mkononi mwako.
19 Lakini ukimwonya mtu mbaya, wala yeye hauachi ubaya wake, wala njia
yake mbaya, atakufa katika uovu wake; bali wewe umejiokoa roho yako.”-
Ezekieli 3: 18-19
pete nakadhalika ni DHAMBI tena ni MACHUKIZO makubwa mbele za MUNGU.
Kama ukimuona mtu anatumia hivyo vitu na ukaacha kumwambia kuwa hivyo vitu BWANA YESU hapendi uvitumie basi damu yake iitadaiwa kwako hata kama wewe huvitumii vitu hivyo na umtakatifu bado utakuwa na damu ya mwingine mikononi mwako.
Hata
kama ni mama yako,dada yako,mke wako,mchungaji, mwanakwaya au rafiki
yeyote anatumia vitu hivyo wewe unatakiwa umwambie ili usidaiwe damu
yake.Yeye akibisha au akikataa au akifanya vyovyote vile baada ya
kumwambia hiyo haikuhusu kwasababu utakuwa umeshajitoa kudaiwa damu
yake.
Na hapo damu yake itakuwa juu yake mwenyewe.Usikubali kwenda
kuzimu eti tuu kwa sababu ulishindwa kumwambia mtu ukweli wa MUNGU na
kubeba damu ya mwingine.
Unachopaswa Ni KUWAAMBIA na usiwe sehemu ya mabishano kwa sababu kwa kumwambia tuu utakuwa umeshajiokoa kudaiwa damu yake.
Hata kama unaogopa tafuta njia yeyote ya kumwambia waweza kupiaga chapa(print) baadhi ya shuhuda na kumpelekea au kumuwekea video kwenye DVD au simu akasikilize shuhuda hiyo.Akibadilika au asipobadilika hilo halikuhusu bali utalolijali ni kujiondoa usidaiwe damu yake mikononi mwako kutokana na wewe kutokumwambia.
Kuwa makini sana kwa kuwa safari ya mbinguni haijali mahusihano kwa kuwa kila mtu atahukumiwa kwa uovu wake[Ezekieli 18:20].Hivyo mume anaweza kwenda mbinguni na mke kwenda kuzimu au vyovyote vile yawezekana.
Jihadhari kwakuwaambia,
hata kama ni mchumba , mke ,bibi hata awe mama mkwe MWAMBIE kwa njia
yeyote ile akibadilika au asipobadilika hilo halikuhusu kwa kuwa wafanya
hivyo ili damu yake usidaiwe akawa kwazo kwako kuingia mbinguni.
Kumbuka:
MAAMUZI NI HAPA DUNIANI, BAADA YA HAPA NI HUKUMU YA MILELE, Ukikosea ni
milele na ukipatia ni milele kuwa MAKINI usidanganyike na ulimwengu huu
upitao.
Asante kwa kufuatilia mafundisho haya ,pia waweza kubofya kwenye link ili kufuatilia masomo kama vile:-
1. IBADA YA SANAMU HAIWEZI KUOKOA
3.MAMBO YA KUFANYA ILI UONDOKANE NA TABIA MBAYA INAYOKUSUMBUA
5.Hata ndoa aliyoianzisha MUNGU mwenyewe ilikuwa inasababu kubwa za kuvunjika lakini ..... ... . . . .
'Na masomo mengineyo mengi utayapata ukizidi kufuatilia.Ubarikiwe'
Shirikisha wengine na usisite kutoa maoni yako......
No comments:
Post a Comment
Andika maoni yako hapa !! ... You may comment here !!!