Nyimbo ya kipekee inayoitwa "sifa zinawe".
Kama ilivyoandikwa ". . . . . . . . . . . Nitakusifu kati ya watu wengi."-Zaburi 35:18.
Unaweza kuisikiliza bure nyimbo yangu ya kusifu MUNGU ,sikiliza kupitia mtandaoni sasa..
Niliyoiimba mwenyewe mimi "jasiri mbarikiwa feat emma", iliyotengenezwa na studio za "first one record" chini ya emmanuel mabele kama producer.
Barikiwa sikilizapo na ushirikishe wengine kupitia hulkshare ,kusikiliza bonyeza SIKILIZA HAPA.