Ni maelezo mafupi ya ushuhuda wa dada mmoja aitwaye BERNARDA alipata nafasi ya kuonana na YESU uso kwa uso naye YESU alimuonyesha vitu vingi ikiwepo na jinsi dunia itavyoisasha.
Ndipo nikaona malaika saba(7) wakiwa wamebeba bakuli za dhahabu kila mmoja,Pia nikaona malaika wengine saba(7) wakiwa na tarumbeta kila mmoja.Nikamuuliza YESU hawa ni malaika wa nini?,
WAWEZA KUUSOMA USHUHUDA WOTE HAPO http://www.freecdtracts.com/testimony/bernarda_fernandez.html, KWA LUGHA YA KIINGEREZA..
Ndipo nikaona malaika saba(7) wakiwa wamebeba bakuli za dhahabu kila mmoja,Pia nikaona malaika wengine saba(7) wakiwa na tarumbeta kila mmoja.Nikamuuliza YESU hawa ni malaika wa nini?,
BWANA akanijibu ”hawa
malaika saba(7) ambao kila mmoja ana bakuli,Hizo bakuli zimejazwa hasira ya
MUNGU,si muda mrefu watamwaga duniani tarumbeta itapolia.
YESU akaniambia wale ambao
ni watu wangu(kanisa) yaani wale wanaoishi kwa kutii amri zake MUNGU watakuwa
wamekwisha kunyakuliwa.Hawatakuwepo duniani katika kipindi cha dhiki kuu(great
tribulation).
Kabla ya (mtu wa
uovu)mpinga kristo mwenyewe kudhihirisha wazi wazi duniani kanisa langu
litakuwa limeshatwaliwa kwa kuwa wale ambao wanaishi kweli kwa kutii amri zangu
watakuwa wamesikia tarumbeta na watapata nguvu ya kunyakuliwa na kujikuta
wamekutana name angani kuelekea Makazi mapya.
1thessalonians 4:16
"Nilikuwa na BWANA YESU akanionyesha
jinsi unyakuo wa watu wake utavyokuwa nikaona maono”maelf kwa maelfu ya watu
kutoka pembe nne za dunia wakinyakuliwa kwa muda mdogo sana,Nikaona magazeti na
tv na redio zikitoa habari ya dharura yaani breaking news kuwa kuna maelfu ya
watu sehemu mbali mbali wamepotea .YESU akaniambia kuwa hili jambo litatokea
mapema tuu .
Ndipo ghafla nikaona mtu wa uovu ambaye ndio mpinga KRISTO akajitokeza na kuimbiadunia kuwa anailetea “amani na usalama”.Hapo nikaona dunia yote ikawa imesahau lile tukio la kupotelewa na watu wengi na kuanza kumsikiliza huyu MPINGA KRISTO

Nikawaona wale malaika saba(7)
wenye bakuli zilizo na hasira ya MUNGU yakimwagwa katika dunia watu wakawa
wanalia na kukimbia kimbia.BWANA YESU akaniambia angalia hawa watu baadhi yao
ni wakristo tena wengine ni wachungaji kabisa.
Nikamuuliza YESU sasa kwa nini watu wako
umewa acha na wengine ni wachungaji kabisa waliokuwa wakifundisha neno
lako.YESU akanijibu akisema Ndio wachungaji hawa walikuwa wanahubiri neno langu
lakini walikuwa hawaishi kama neno langu linavyosema."
Ndugu sasa anza kuishi kama MUNGU anavyotaka tuko katika siku za mwisho sana.
Ndugu sasa anza kuishi kama MUNGU anavyotaka tuko katika siku za mwisho sana.