Jina langu naitwa Emmanuel Senayon.Namshukuru MUNGU kwa neema ya pekee katika maisha yangu aliyonipa, neema ya dhahabu ya kuona huu ufunuo.Bwana aliniahidi mimi katika ufunuo wa kwanza, kuwa atanitembelea tena kunionyesha siri kwa sababu ujio wake u karibu sana, na shetani anafanya kazi kwa bidii kuvuna roho kwa ajili ya ufalme wake mbaya wa kuzimu.
Tarehe 26 mwezi wa kwanza mwaka 2013 mida ya saa 12 asubuhi,Nilipokuwa nimelala sikujua kuwa mwili wangu tayari ulikuwa tayari umekufa hapa duniani.Nikamuona Bwana naye akasema, “NJOO !,NATAKA NIKUONYESHE WEWE MIPANGO YA SHETANI KINYUME NA MWANADAM.”
Bwana akanishika mkono na tukafika mbele ya enzi ya shetani, na nikamwona shetani kwenye enzi.Akawa anacheka kwa sauti yake mbaya akisema, “Lazima nivune roho zao!.roho zao ni zangu !!!! Hahaha!!!”.Bwana akaniambia niangalie kwa makini ili niweze kuwa ambia wengine kile nilichokiona.
Niliona mapepo mawili wamemleta mtu mbele ya enzi ya shetani.Mtu huyo alikuwa ni msoma nyota,mganga wakienyeji,mchawi na muaguzi, mara shetani alipomuona , alicheka na kusema, “Karibu mtumishi wangu mwaminifu.”
Shetani akaanza kumuuliza maswali hayo mapepo wawili kwa hasira kali akisema, “Huyu amenivunia roho ngapi kwa ajili yangu hadi sasa ?”.Mapepo yakamwambia, “Milioni saba(7).”Shetani akaanza kucheka na akauliza mapepo, “Wangapi kati ya hao milioni saba waliokwisha kufa ?”.Mapepo yakajibu, “Milioni mbili(2)”.

Shetani akaanza kucheka akisema, “roho zao zinamilikiwa na mimi ! Ha ha ha !” Tena Shetani akauliza yale mapepo, “Ndege ngapi alizo ziangusha ?”.Mapepo wakajibu, “Sita.” Na tena shetani akauliza mapepo, “Gari ngapi alizozisababisha ajali ?”Mapepo wakajibu, “Mengi”.Shetani akasema kwa hasira kali, “Ninayo zawadi kwa ajili yako !, lazima nikupe zawadi.” Mara nikaona pepo kubwa na kikombe kibaya sana mkononi mwake.Ndani ya kikombe mulikuwa na kemikali ya asidi nyeusi.Pepo akampa yule mtu na shetani kwa sauti kubwa akamwambia yule mtu , “Kunywa hiyo, Kunywa hiyo, Kunywa hiyo .”
Yule mtu akanywa na mwili na mwili ukaanza mong`onyoka.Asidi ikaanza kula mwili na mwili ukapasuka na ukawa vipande vipande !.Yule mtu alilia kwa uchungu sana.Alitafuta njia ya kutoroka lakini shetani akacheka na kumwambia, “Nilikutega wewe na ukaufuata uongo wangu.Hutaweza kutoka nje ya sehemu hii, roho yako ni yangu ! Ha ha ha!”.
Baada ya kuangamia Shetani akasema “mtoeni hapa!” Mapepo yakamchukua na kurushiwa kwenye moto wa kuzimu !.Alikuwa akilia kwa uchungu sana na kwa hisia za ndani kwa sababu mateso ya kuzimu yalikuwa makali sana.[Isaya 5:14]
Shetani alikuwa akisema hayo kwa sababu nyoyo nyingi zinaishia kuzimu ya moto.Bwana YESUKRISTO alikuwa akilia kama mtoto kwa sababu wakristo wengi hawavuni tena nyoyo/roho kwa KRISTO.Rafiki yangu,ni muda.Tunatakiwa tuseme hapana kwa kazi za mwili na tuvune watu kwa ajili ya KRISTO[Mathayo 10:7].
Shetani alikuwa akicheka kwa sauti.Alikuwa akiiita mapepo na kuwa agiza, “Nenda kwenye njia panda na kusababisha ajali”.
Shetani alikuwa akicheka kwa sauti.Alikuwa akiiita mapepo na kuwa agiza, “Nenda kwenye njia panda na kusababisha ajali”.
Mapepo yalitii na kwa haraka yalikumbia kuja duniani.Shetani aliita mapepo wengine na kumwambia, “Nenda angani na msababishe ajali za zitokee kwa vyombo vya angani”.Shetani akawaita na kuwaambia , “Nendeni haraka na kufanya wasanii waache miili yao wazi(uchi) kwenye Tv, na mitandao na kwenye magazeti.Nenda na kufanya makahaba watoe video nyingine mpya !”.Wote wakatii na kukimbia kuja duniani haraka.Tunatakiwa tuwe makini na kile tunachokitazama kwenye TV, mitandaoni, na pia kwenye magazeti kwa sababu Shetani yuko huko akitafuta yeyote ili mrarue[1 Petro 5:8].
Baadae nikaona wanyama wenye nguvu.Wakimwambia mtu mmoja, “Ulitutumia sisi kuumiza watu pindi ulivyokuwa duniani.Sasa ni zamu yetu kukuumiza wewe.” Wakaanza kumtesa huyo mtu na huyo mtu alilia kwa uchungu sana.Hata alikuwa akitamani kufa lakini ilikuwa ameshachelewa kwa yeye na sababu roho yeyote itayoingia Kuzimu haitatoka kamwe.Itakuwa hapo milele[Mathayo 22:13].
Hii ni changamoto kubwa kwetu sisi wakristo.Mtumishi mmoja wa shetani anavuna watu milioni saba(7) kwenda kuzimu.Watu milioni mbili(2) tayari wameshakufa.Sasa wapo katika mateso makubwa.Ni watu wangapi uliwaambia kuhusu Kristo leo ?.Baadhi watujampata hata mtu mmoja na kumleta kwa KRISTO.
Nakumbuka mwaka 2011,Nilipata maono na nikamuona shetani katika enzi yake akisema “Nani atanitenga mimi na utukufu wangu ? ”.

Ndipo shetani akamwita mtu kutoka kuzimu ya moto akauuliza , “Josefu, Umeamini sasa kuwa kuzimu ya moto ni kweli ?,Umeamini ufalme wangu upo kweli ?”.Nikaona yule kaka akilia kwa uchungu sana.Mapepo walikuwa wakimtesa kwa hasira kali.Bwana akanionyesha stori ya maisha ya mtu yule .kipindi alipokuwapo duniani, hakuamini kabisa kuwa kuzimuipo na alikuwa akifundisha watu wake kuwa kuzimu haipo na sio halisi.Aliwafundisha mtu anachohitaji pekee kukitafuta ni baraka, aliwaambia hamna kuzimu na sio kweli ,na kuwa mtu akifa ndio amekufa milele na roho yake haiendi popote.
Sasa yupo kuzimu akilia, na kusema, “Sasa na amini, Tafadhali nitoeni nje !,Sasa naamini !” Shetani akamwambia, “roho yako ni yangu !Utakuwa milele !”.Hili ni somo kubwa kwa wale mnaofikiri kuzimu sio halisi.Sasa, tubu na uokolewe.Kuzimu ya moto ni halisi[Mathayo 13:50], [Mathayo 25:30].
MKRISTO BILA YA SILAHA KAMILI.
Nilimuona kakammoja anakuja kwa YESU alipokuwa amefariki duniani.Alikuwa na furaha kwa sababu alikuwa akidhani amefanikiwa kuingia mbinguni.Alipofika mbele ya YESUKRISTO, YESU alikuwa akilia sana kwa uchungu.
YESU alimwambia yule kaka, “Gabriel, uko wapi upanga wako wa kweli ?,Iko wapi dirii ya haki kifuani mwako niliyokupa ?, Nilikupa silaha kamili.Ziko wapi ?”.Yule kaka akasema , “Nimeacha kwa nyumba ya rafiki yangu, tafadhali naomba niende kuchukua”.Bwana akamwambia, “Umechelewa.Huwezi kurudi tena kwa sababu nilikuonya lakini hukutaka kunisikia Mimi.Sikujui wewe !”.Huyu kaka alikuwa akilia kwa huzuni kubwa na kusema, “Tafadhali nipe nafasi ya kurudi.tafadhali Bwana, tafadhali, tafadhali !”.Bwana akapaza sauti kwa hasira ikisema, “Ondoka ! Ondoka ! Ondoka ! kwa kuwa sikujui! Ondoka kutoka Kwangu !” na kimbunga kikubwa kikambeba yeye na kumtoa kumpeleka kuzimu.
Bwana alinionyesha historia ya huyo kaka alipokuwa duniani, Hukuenda hata siku moja kuleta watu kwa Kristo.
Bwana alinionyesha historia ya huyo kaka alipokuwa duniani, Hukuenda hata siku moja kuleta watu kwa Kristo.
Popote Bwana alipomwambia nenda na uwaambie watu kuhusu injili ,yeye huaihirisha.Shetani humwambia katika moyo wake “Kaa chini na usome bibilia.utaenda kesho.”Kesho inapofika Bwana humwambia yeye, “Gabriel, nenda kamuonye mdhambi yule ili atubu na kuokolewa” Naye shetani huongea katika moyo wake, “Gabriel kaa chini na kusoma bibilia yako.Kesho utafanya hayo.” Naye akatii sauti ya shetani [2 Wakorintho 11:13-14].
Alikwenda kwenye nyumba ya rafiki yake na badala ya kumwambia rafiki yake kuhusu YESU wakaanza kujadili kuhusu mambo ya kibiashara.Huyo kaka alipoteza wokovu wake kupitia ushauri mbaya wa rafiki yake.Akaanza kuishi maisha ya dhambi kama vile yule rafiki yake.Hiyo ndio sababu alimwambia Bwana kuwa ameacha dirii ya haki ya kifuani mwake kwenye nyumba ya rafiki yake.
BwanaYESU akaniambia, “Waambie watu wangu kuwa wavae silaha zote, wawe na silaha kamili , waambie wasipoteze hata silaha moja !”[Waefeso 6:10-18].Yule kaka akafika kuzimu ,Nikaona joka kubwa lenye mapembe mengi kwenye mwili wake.Joka akasema, “Gabriel hivi ndivyo nilivyo mdanganya mwanadamu wa kwanza na kupoteza sara kamili ya MUNGU.[Mwanzo 3], Nimekudanganya wewe na ukaufuata uongo wangu.Nitakutesa wewe milele!”Joka kubwa likamuingia kwenye mwili wa yule kakana lilikuwa likimuumiza.Yule mtu alikuwa akilia kwa uchungu lakini alishindwa kutoka kwenye moto.

Shetani alianza kumcheka na kumwambia, “roho yako ni yangu !,lazima niwapate ninyi nyote !”.Wakristo ni muda wa kuendeleza maisha ya kuwa na uhusiano mkubwa na MUNGU kwa sababu wengi wao wanaishia maisha yao kuzimu ya moto kwa sababu ya dhambi.Tunatakiwa kukiri dhambi zetu na kuziacha, kwa sababu viwango vya MUNGU vimesimama ni hakika.[2 Timotheo 2:19].
MFALME SAULI YUPO KUZIMU.
Bwana akasema, “Njoo,nataka nikuonyeshe wewe mfalme.”Nilimuona mtu akiwa amefungwa kwenye enzi.Mapepo yalikuwa yakimtesa kwa hasira kubwa.Bwana akaniambia mimi ni mfalme Sauli.Mfalme Sauli aliponiona mimi, alisema, “Uko hapa.Nenda na uwaambie watu wangu niko hapa.
Waambie wasiache kumtii MUNGU.Waambie watoto wa isreal kuwa ni LAZIMA watii sauti ya Bwana.Kutokutii kwangu kumenileta katika sehem hii.”[1 Samweli 13:13-14],[1 Samweli 15:22-26],[1 Samweli 16:14].Alizidi kusema, “Nilikuwa muuaji, nikajiua mwenyewe, nilidhani mimi ni mmiliki wa maisha yangu mwenyewe[1 Samweli 31:4],tafadhali waambie kuzimu ya moto ni halisi”.Sauli alikuwa akilia kwa ajili ya msaada lakini Mpepo yaliendelea kumtesa.Bwana akaniambia, “Unatakiwa uwaambie kile ulicho kiona.Kama usipo waambia utahukumiwa.”
UPAKO WA SHETANI.
Bwana akanichukua mpaka sehemu ingine kuzimu.Niliona jinsi shetani anavyowafanya wakristo.Kulikuwa upako mweusi wa giza kwenye shimo kubwa.Mapepo wengi walitoka pale kwenye ule upako na nilikuwa nikishangaa nikijiuliza wanaenda kufanyia nini.Bwana akaniambia, “Mwanangu,waambie watu wangu wanatakiwa wawe waombaji.Wanatumia hiyo kwa wakristo kipindi wamelala.Hao mapepo huwamwagia huo upako hao wakristo na kama mKristo alikataa kuomba , huo upako wa shetani utaweletea hisia za ajabu ajabu na mawazo mabaya.Uhusiano wao na Mimi hautakuwa sawa na watarudi nyuma.”

Watu wangu ,hatutakiwi kuwa wajinga juu ya kazi za shetani.[2 wakorintho 2:11].Tunapo lala kuna vitu vingi shetani hujaribu kufanya kinyume na roho zetu.Bibilia inaongea kweli kuhusu MPANDAJI MWOVU. “...... lakinini mtu yule alipo lala adui akaja na kupanda magugu katikati ya ngano na kuenda zake.”[Mathayo 13:25].
Bwana akaniambia, “Mwanangu, mwangalie yule mtu.”Nikamuona mtu duniani.Alipokuwa amelala pepo akaja na kumiminia upako wa giza kwa yule mtu na akaenda zake.Yule mtu alivyo amka,hakuomba kwa sababu alikuwa amechelewa kazini.Badala ya kukimbia nje ya chumba chake na kwenda kazini.Upako wa giza ukaanza kujidhihirisha katika maisha yake.Mtu yule akaanza kujisikia hisia za ajabu ajabu.Akatenda uzinzi na mwanamke ambaye alikuwa ni mtu wa kanisani kwake.Hapo ndipo alipomwacha MUNGU.

Bwana alimuonya ili aombe kwa sababu ya kazi yake lakini alikataa kusikia.Bwana akasema, “Ni mchungaji.”
Tunatakiwa tuwe waangalifu kwa sababu shetani ni muongo mkubwa sana na mkakati wake ni kudanganya kwenda kwenye uharibifu.Anafanya kazi kisiasa kama ‘mfalme wa hii dunia’ amewapofusha wasioamini kutokuamini injili ya wokovu.[Efeso 6:11-20].

MTU AMBAYE HAAMINI KATIKA ROHO MTAKATIFU
Watu wote ambao hamuamini katika Roho mtakatifu,Ninawaambia ninyi ni kweli !Nimemuona mtu kuzimu ya moto alikuwa amefungwa chini na kuteswa na mapepo.Huyo mtu alipotuona sisi alikuwa akisema, “Sasa nina amini katika Roho mtakatifu.Sasa naamini katika kunena kwa lugha.”Mtu huyo alipokuwa duniani hakuamini katika Roho mtakatifu.Alikuwa akienenda kutokana na mwili na sio kutegemea Roho mtakatifu.Alijiachilia dhambi nyingi na sasa yupo kuzimu ya moto akiombakwa ajili ya nafasi ya pili lakini Bwanaalimwambia, “Umechelewa !,siwezi kukuokoa tena !”.
Yule mtu alilia kwa uchungu ,akimkufuru Bwana[Luka 11:13].Wote tunahitaji kumuomba Baba atupe sisi Roho mtakatifu kwa sababu ametuahidi kutupa wale wataomuomba yeye[Efeso 1:13-14].Omba sana na kwa bidii na usikate tamaa kumtafuta Roho mtakatifu kwa sababu usipokuwa naye utaendelea kuwa unafanya mapenzi ya mwili[Warumi 8:5-14].Mtafute Roho mtakatifu akusaidie kuingia mbinguni.
KANISA KUBWA
Bwana akaniambia, “Mwanangu, njoo,ngoja nikuonyeshe jinsi ninavyotaka kanisa langu liwe.”Nikaona kanisa likiwa na moto uwakao.Watu walioko pale walikuwa wako na moto lakini haungui.Bwana akasema, “Huo nimoto wa Roho mtakatifu.”
Kulikuwa na malaika wengi sana wenye nguvu sana na wenye panga mikononi mwao wakizunguka kanisa.Watu katika kanisa walikuwa wakiomba sana kwa bidii na kulia kwa Bwana.Bwana alisema, “Hivi ndivyo ninavyotaka kanisa Langu liwe, lakini makanisa mengi yamekuwa baridi.[Ufunuo 3:15-16].Makanisa yangu mengi leo haya ombi sana, hawafungi.
Hawafundishi kuhusu ujio Wangu wa pili, Hawahubiri kuhusu kuzimu ya moto, Hawa hubiri kuhusu ufalme wangu tukufu, Hawavuni na kuleta watu kwangu, Hawataki tena muongozo wangu lakini wanachotaka ni kuongozwa kwa mwilina sio kwa roho.Waambie wote, NINAKUJA HARAKA NA UJIRA WANGU UKO NAMI NIMPE KILA MMOJA KWA KADIRI YA KAZI YAKE.[Ufunuo 22:12].Mwanangu, waambie ni karibu kufunga mlango”.Bwana alilia.
Kanisa, tunatakiwa tuamke na kuacha mafundisho ya ajabu ambayo yatatupeleka kuzimu ya moto.Kumbuka kile ambacho Bwana amekisema, “Wote niwapendao mimi nawakemea, na kuwarudi; basi uwe na bidii, ukatubu.” [Ufunuo 3:19].

SIRI ZA UONGO WA SHETANI
Bwana akanichukua mpaka sehemu ingine Kuzimu.Kulikuwako na mapepo wengi kwenye mkutano.Ghafla wakatawanyika nakuwa na mwonekano wa miili ya kawaida ambao wengine wakawa wachungaji,wainjilist,manabii, waalimu, wadada , wakaka, wazee na watumishi.Shetani alikuwa akiwapa amri akiwaambia, “Nendeni sasa duniani ! Nendeni na kufanya ishara na maajabu ! nenda na kufanya miujiza !Nenda na kufundisha mafundisho ya uongo na kuleta roho nyingi zaidi katika ufalme wangu !.” Wale mapepo wakamtii , na kukimbia kuja duniani wakiwa na kasi kubwa.Nilipoyaona haya niliingiwa na mshangao mkubwa sana.Hicho kikanifanya kukumbuka kukutana kwangu na YESUKRISTO kwa mara ya kwanza .
Bwana aliponionyesha kitu flani kuzimu ambacho kiko pembeni mwa enzi ya shetani.Kulikuwa na shimo kubwa na refu.Mulikuwa na majina ya makanisa yanayomilikiwa na kuanzishwa na shetani duniani, Yameandikwa chini ndani ya shimo.Rafiki yangu, jihadhari na kanisa unalohudhuria.Kama halijasimama katika kweli yote ya MUNGU(Kuhubiri utakatifu, haki, ujio wa pili wa YESUKRISTO, mafazi ya kiMungu na kuhubiri kuhusu Kuzimu ya moto),tafadhali toka kwenye aina ya kanisa hilo, kwa sababu yanamilikiwa na shetani.(Mathayo 24:24), (Marko 13:5-6), (Luka 21:8).Tunatakiwa tuwe waangalifu kwa kuwa mapepo wengi wameachiliwa na wapo kamawatumishi wa MUNGU, wapo kudanganya watu kwenda kwenye uharibifu.Bwana akasema, “Mimi sio mwanzilishi.Sijui haya makanisa katika hili shimo.”[ 2Timotheo 3:4-7].
UWANJA WA VITA
Bwana alinichukua mpaka sehemu ingine.Nikaona watu wachache tuu wanapiga mapepo wengi.Ilikuwa ni vita kubwa na ya nguvu sana.Mapepo walifunga watu wengi kipindi wanapambana kwa kuwa silaha zao hazikuwa kamili.Kulikuwa na damu kwenye miili yao lakini wakaendelea kupambana.Bwana alikuwa akilia, nakusema, “Unatakiwa uvae silaha zote za MUNGU.”[Waefeso 6:11-18].Kulikuwa na baadhi ya watu wamevaa silaha kamili na mapepo hawakuweza kuwashinda wala kuwadhuru.Bwana aliongea, “Nahitaji watu zaidi katika uwanja huu wa mapambano.Waambie waje kwangu na nitawajaza kwa nguvu Yangu.Waambie watafute silaha kubwa za Roho kwa moyo wote na watakuwa nazo.”
Mara , Bwana akageuza sura yake kwangu akisema, “Wanakusubiri wewe duniani.”
Mama yangu na kaka yangu mkubwa walikuwa wamesha ondoa shuka nililokuwa nikilitumia kujifunikia mwenyewe.Mama akaniambia walijaribu kuniamsha kwa muda mrefu na siku amka na waka enda kuomba msaada kwa kaka mkubwa ili anisaidie.Naha ta kaka mkubwa alipofika aliniamsha akadai sikuamka na hata wakafikia kuwaza kuna tatizo kwenye damu yake.
Hata baadae sana nilipoamka, walikuwa wakilia na kuita jina langu.

KUWA MWEREVU.
Rafiki ,YESUKRISTO amefichua siri za shetani na anavyotaka kanisa Lake liwe.Sasa ni upande wetu kuchukua hatua mbele ya wokovu, kutubu kwa dhambi zetu na kuokolewa.(Waefeso 5:1-2).Kama wewe ni mchungaji, mtumishi wa MUNGU, au ulirudi nyuma katika wokovu.Tafadhali amka na urudi kwa YESU.Yeye atakupokea wewe.(Waefeso 5:14-21).Bwana aliahidi kunitembelea mimi mara ya tatu.Alisema, “naja kukutembea wewe na kukuonyesha vitu vingi zaidikuhusu Mbinguni na Kuzimu ya moto.Nitakuja kukutembelea wewe kwenye tarehe 9 mwezi wa pili ,2013 .”Amsha Wakristo wote!!.
Tafadhali waweza kushirikisha wengine Kwa ku SHARE huu ushuhuda, lakini kwa shuhuda nyingine nyingi waweza kupitia blog yawww.jasirimbarikiwa.blogspot.com .ili kuzipata hapo !.Ubarikiwe unapotafakari na KUBADILIKA sawa sawa na mapenzi yake YESUKRISTO.